UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA NGUMI ZA WAZI TANZANIA (OBFT) KUFANYIKA TAREHE 12 FEBRUARI, 2023

04 Jan, 2023 Pakua
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) linapenda kuwataarifu wanachama na wadau wa Shirikisho la Ngumi za Wazi Tanzania (OBFT) kuwa, Uchaguzi wa viongozi wa Shirikisho hilo unatarajiwa kufanyika tarehe 12 Februari 2023, jiji Dar-es-salaam, Aidha usaili wa wagombea wa nafasi tofauti za uongozi unatarajiwa kufanyika tarehe 10 Februari, 2023.