NATIONAL TENNIS COMPETITION

13 Apr, 2025
Mashindano ya Taifa ya tenisi mpira wa meza yanaendelea leo Aprili 13, 2025 katika ukumbi wa JK Chande uliopo katika shule ya sekondari Shaban Robert jijini Dar es salaam.