KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTAMADUNI NA MAAFISA MAENDELEO YA MICHEZO NCHINI 2025
service image
25 Apr, 2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgeni rasmi wa Kikao Kazi cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo nchini Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali walihudhiria katika kikao hicho baada ya ufunguzi uliofanyika Aprili 22, 2025 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam.