TAMASHA NJOMBE
service image
25 Aug, 2023

Mbio za pole pole (Jogging), mazoezi vikiambatana na michezo mbalimbali kuashiria kuanza kwa tamasha la utamaduni sambamba na mafunzo ya mfumo wa usajili kidigitali zimefanyika 24/8/2023 mkoani Njombe