HAMASA TAIFA STARS

27 Jul, 2025
Baadhi ya Matukio ya hamasa ya kuchagiza kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu ya taifa katika mechi ya ufunguzi ya Michuano ya CHAN 2024 hamasa iliyofanyika katika kituo cha Mabasi Tegeta nyuki , jijini Dar es Salaam
Na mechi ya ufunguzi ni kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania na Burkinafaso, Tarehe 2 Agosti, 2025 katika uwanja wa Benjamin William Mkapa.