KUSAINIWA KWA MKATABA WA UKARABATI WA UWANJA WA UHURU.

25 Apr, 2024
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Gerson Msigwa akisaini mkataba na mkandarasi kampuni ya CRCEG ya nchini
Zhao Yufeng ambae ni meneja wa kampuni hiyo kwa ajili ya ukarabati uwanja wa Uhuru, tukio hilo limefanyika leo Aprili 25, 2024 Jijini Dar es Salaam.