MICHEZO YA TANZANITE YAENDELEA VIWANJA VYA TAIFA
service image
21 Oct, 2022

Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ameshuhudia michezo miwili ambayo imeanza leo asubuhi Oktoba 21 katika siku ya pili ya tamasha la kimataifa la michezo la wanawake (Tanzanite).

Michezo ambayo imechezwa ni riadha M. 100, 400 na 1,500 ikihusisha wakimbiaji kutoka Kenya, Zanzibar na Tanzania na Mchezo wa mikono ukihusisha timu ya ngome dhidi ya timu ya