Sherehe za ufunguzi wa mashindano ya SHIMIWI

07 Sep, 2025
Mgeni rasmi Mhe. Doto Mashaka Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati akiwa kwenye picha ya Pamoja na Watumishi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) mara baada ya ufunguzi wa mashindano ya SHIMIWI Septemba 7, 2025 jijini Mwanza.