TANZANITE

20 Oct, 2022
Mbio mbalimbali zimeendelea ikiwemo M.100, 400 na 1,500 zikikimbiwa na wakimbiza upepo kutoka Kenya, Zanzibar na wenyeji Bara.
Aidha, mbio hizo zimeanza leo tarehe 20 Oktoba, 2022 pamoja na kongamano lililohusisha mada tofauti kuashiria kuanza kwa tamasha la michezo la wanawake la pili la mwaka 2022 katika ukumbi wa Uwanja wa Benjamin Jijini Dar es salaam.