TEMBO WARRIORS YAWASILI BUJUMBURA.

07 Sep, 2025
Kikosi cha Timu ya Taifa ya mpira wa miguu kwa Watu wenye Ulemavu Tembo Warriors kimewasili salama katika Jiji la Bujumbura nchini Burundi tayari kwa mashindano ya Afrika Mashariki yatakayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 08 Septemba 2025