USAILI WA WAGOMBEA WA UONGOZI WA OBFT
                            
                                
                                     10 Feb, 2023
                                
                            
                            Usaili wa wagombea wa nafasi tofauti za uongozi wa Shirikisho la Ngumi za Wazi Tanzania (OBFT) ukiendelea leo Februari 10, 2023, kuelekea katika uchaguzi Mkuu wa viongozi wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika siku ya Jumapili tarehe 12 Februari mwaka huu Jijini Dar es salaam.

