UZINDUZI WA JARIDA LA HEKAHEKA
service image
25 Apr, 2024


Viongozi katika sekta ya michezo wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Gerson Msigwa leo Tarehe 25 Aprili, 2024 wameshuhudia uzinduzi wa Jarida lililopewa jina 'Hekaheka' la mafanikio katika sekta ya Utamaduni Sanaa na Michezo katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani.