VOSTER NA REHEMA WAFUZU HATUA YA NUSU FAINALI
service image
12 Sep, 2025

Wacheza tenesi kwa kutumia kitimwendo Voster Peter na Rehema Said wafuzu hatua ya nusu fainali ya mashindano ya International Tennis Federation tournament (Nairobi I &II Championship 2025) yanayofanyika nchini Kenya jijini Nairobi ambayo yataendelea tarehe 12 septemba, 2025 ambapo wachezaji wetu Voster na rehema watacheza hatua ya nusu fainali.

Mashindano ayo yanashirikisha nchi 8 ambazo ni Tanzania, Kenya, Congo, Rwanda, South Afrika, Morrocco, India, Hispania.

Tunawatakka Kila la kheri kwa hatua inayofuata ya nusu fainali .