|
Na. |
AINA YA CHAMA |
ADA YA USAJILI (Itatolewa mara moja wakati wa usajli tu) |
ADA YA MWAKA (Annual fee) |
|
1 |
Vyama vya Michezo vya Kitaifa vyenye wanachama wa Mikoa |
200,000 |
150,000 |
|
2 |
Vyama vya Michezo vya Kitaifa Vingine |
200,000 |
100,000 |
|
3 |
Vyama vya Michezo vya Mikoa |
100,000 |
50,000 |
|
4 |
Vyama vya Michezo vya Wilaya |
100,000 |
50,000 |
|
5 |
Vyama vya Michezo ambavyo ni Taasisi (Taasisi za Michezo) |
100,000 |
100,000 |
|
6 |
Vilabu vinavyoshiriki mashindano ya Vyama vya Kitaifa |
100,000 |
100,000 |
|
7 |
Vilabu vinavyoshiriki mashindano ya Vyama vya Mikoa na Wilaya |
100,000 |
50,000 |
|
8 |
Wakuzaji na Wakala wa Michezo |
200,000 |
100,000 |
|
9 |
Shule za Michezo (Sports academies) |
100,000 |
100,000 |
|
10 |
Vituo vya Michezo (Sports Centre) |
100,000 |
100,000 |
|
11 |
Vituo vya mazoezi ya Viungo (GYM & Fitness Centres) vya Kisasa |
100,000 |
150,000 |
|
12 |
Vituo vya Mazoezi ya Viungo (GYM & Fitness Centres) vya kawaida |
100,000 |
100,000 |
TOZO NYINGINEZO ZINAZOHUSIANA NA USAJILI
|
Na. |
AINA YA MAOMBI |
KIWANGO |
|
1. |
Maombi ya kusoma rejist (perusal fee) |
50,000 |
|
2 |
Maombi ya kupatiwa hati iliyothibitishwa na Msajili au kuidhinishwa hati inayoletwa na mdau |
50,000 |
|
3 |
Maombi ya Kivuli cha cheti au hati nyingine iliyo katika hifadhi ya Baraza |
50,000 |
|
4 |
Kuwasilisha marekebisho ya Katiba kwa Msajili |
50,000 |
|
5 |
Kuwasilisha mabadiliko ya Viongozi wa Klabu, Chama au Shirikisho cha Michezo pale ambapo viongozi wamebadilika kwa sababu nyingine bila kubadili umiliki |
10,000 |
|
6 |
Kuwasilisha mabadiliko ya umiliki wa klabu cha michezo pale ambapo klabu kimeuzwa kwa mtu au taasisi nyingine |
2% ya mapato ghafi la mauziano |
|
7 |
Maombi mengineyo |
50,000 |
Timu ya Taifa ya Kuogelea Tanzania iliyokuwa na jumla ya wan...
Tanzania imeandika historia mpya katika mchezo wa kikapu kwa...
Timu ya Taifa ya Wavulana chini ya umri wa miaka 15 (U15) in...
Shirikisho la Mchezo wa Karate Nchini Tanzania (TSKF) lime...
Timu za mpira wa mikono za Ngome kwa wanaume na wanawake zim...