MASHINDANO YA RIADHA YA WANAWAKE (LADIES FIRST) KUFANYIKA TAREHE 20-21 JANUARI 2023 KATIKA VIWANJA VYA BENJAMINI MKAPA, DAR-ES-SALAAM

04 Jan, 2023
6.00 AM - 16.00 PM
MKAPA STADIUM - DAR-ES-SALAAM
Mashindano ya Riadha ya Wanawake (Ladies First) yanayoandaliwa na Baraza la Michezo la Taifa kwa kushirikiana na Shirika la Ushirikiano la Kimataifa la Japan (JICA) kwa awamu ya nne kwa mwaka 2023. Mashindao hayo yatafanyika Tarehe 20-21 Januari 2023, katika viwanja vya Benjamini Mkapa Stadium, ambayo yatashirikisha wachezaji wanawake kutoka Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani.