Mkutano wa BMT na Viongozi wa Vyama vya Michezo/Mashirikisho ya Michezo Tanzania Bara
11 Mar, 2026
2.30-10.30
BENJAMINI MKAPA STADIUM
Mkutano wa BMT na Viongozi wa Vyama vya Michezo/Mashirikisho ya Michezo Tanzania Bara utafanyika tarehe 13 Machi, 2026 kuanzia saa 2.30 asubuhi katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar-es-salaam

