UCHAGUZI WA VIONGOZI WA CHAMA CHA MPIRA WA MPIRA WA MEZA TANZANIA (TTTA)
service image
04 Jan, 2023 09.00AM-16.00PM MKAPA STADIUM - DAR-ES-SALAAM

Baraza la Michezo la Taifa linapenda kuwatangazia uchaguzi wa Chama cha Mpira wa Meza Tanzania kwa kuanza na usaili utakaofanyika tarehe 6 Januari, 2023 na uchaguzi utakaofanyika Tarehe 7 Januari, 2023 katika Ofisi ya BMT katika uwnaja wa Mkapa Stadium.