BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA LA 15

29 Apr, 2025
Baraza la Michezo la Taifa la 15 likiongozwa na Mwenyekiti wake Mhandishi Leodigar Chilla Tenga leo Aprili 29, 2025 wakiwa katika picha za pamoja na Menejimenti ya BMT baada ya kikao chao Cha mwisho katika Baraza hilo kwa mujibu wa mwongozo, kikao kilichojadili mambo mengi ya majumuisho ya kuendelea kuijenga taasisi hiyo na sekta ya michezo kwa ujumla wake.