ASANTE  TANZANIA
service image
22 May, 2026

"Ningependa kusisitiza tena kwamba vijana wanastahili kuhamasishwa, 
Nilicheza katika ligi ambayo wachezaji wa Afrika walikuwa sehemu kubwa ya mazingira yangu, Kwa nini nisije kuona wanakotoka wale watu niliocheza nao na nilioshindana nao? Hili lina maana kubwa sana kwangu" amesema Rio.

Rio Ferdinand ambaye ni nyota wa zamani wa Klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari, Mei 22, 2026 jijini Dar es Salaam,  saa  chache kabla ya kuanza safari yake kuondoka nchini Tanzania baada ya kuhitimisha ziara yake iliyoanza Mei 19 hadi 22, 2026 kupitia mwaliko wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.   Paul Makonda

slot gacor