BAJETI 2026/2027
06 May, 2026
Waheshimiwa Wabunge wamejadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 , Mei 4, 2026.
Uamuzi huo umefikiwa wakati wa Kikao cha 21 cha Mkutano wa 3 wa Bunge la 13, kilichofanyika jijini Dodoma, hatua inayotarajiwa kuendelea kuimarisha maendeleo ya sekta hizo muhimu nchini.

