KOMBE LA DUNIA LA BNP PARIBAS

07 May, 2025
Timu ya taifa ya Tanzania ya mchezo wa tenisi ya Wanawake kwa kutumia kitimwendo imepangwa kundi C pamoja na timu ya Brazili na Uingereza katika mashindano ya kombe la Dunia la BNP Paribas yatakayoanza Mei 6 – 11, 2025 Antalya, Uturuki.