HONGERA MAGDALENA SHAURI.

21 Apr, 2024
Hongera Sana Magdalena Crispin Shauri kwa kushinda mbio ya Shanghai Half Marathon 21KM kwa kutumia muda wa 1:09:57.