HONGERA SIMBU

08 Apr, 2024
Hongera sana Alphonce Felix Simbu kwa kumaliza nafasi ya tatu na kujinyakulia medali ya Shaba katika mashindano ya DAEGU MARATHON yaliyofanyika usiku wa kuamkia leo.