DOKTA HASSAN ABBASI, AKIWASILISHA MADA YA NAMNA VYAMA YA MICHEZO NCHINI VITAKAVYOWEZA KUJITANGAZA KWA KUFANYA VIZURI MICHEZONI ILI KUPATA UDHAMINI KATIKA MICHEZO YAO.
service image
20 Oct, 2022

Katibu Mkuu wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dokta Hassan Abbasi, akiwasilisha mada ya namna vyama ya michezo nchini vitakavyoweza kujitangaza kwa kufanya vizuri michezoni ili kupata udhamini katika michezo yao.

Dkt.Abbasi amewasilisha mada hiyo katika kongamano la Tamasha la Wanawake 2022 (TANZANITE), linalofanyika leo tarehe 20 Oktoba, 2022 katika moja ya kumbi za uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam.