SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
service image
01 May, 2025

Watumishi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) leo Mei Mosi, 2025 wameianza hivi siku ya wafanyakazi duniani wakielekea katika Uwanja wa Tanganyika Packers ambapo maadhimisho ya siku hii yanafanyika kwa watumishi wa Mkoa wa Dar es salam.