LADIES FIRST 2023
service image
27 Sep, 2023

BMT kupitia kwa Maafisa wake Septemba 26, 2023 imekutana na Wawakilishi kutoka Shirika na la Ushirikiano la Kimataifa la Japan (JICA) kuendelea kuweka mikakati ya kufanikisha awamu ya nne (4) mashindano ya riadha ya wanawake yajulikanayo kama "Ladies First" yanayotarajiwa kufanyika mwezi Novemba, 2023 Jijini Dar es salaam.