MAPKEZI YA MHE. MAKONDA
service image
13 Jan, 2026

Mapokezi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda alipowasili Wizarani hapo Mtumba jijini Dodoma baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan.

Uapisho huo umefanyika Januari 13, 2026 katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.