MASHINDANO YA UMISSETA TAIFA 2023 MKOANI TABORA
service image
17 Jun, 2023

Mbio za mchujo za kupokezana kijiti mita 100 x 4 zikiwa zinaendelea katika uwanja wa Shule ya Sekondari wavulana Tabora, ikiwa ni mashindano ya UMISSETA TAIFA 2023