MH. MAKONDA ASHIRIKI MBIO ZA SIKU YA AFRIKA
service image
23 May, 2026

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda, akikabidhi zawadi kwa washindi wa mbio za siku ya Afrika leo Mei 23, 2026 za KM 5 na 10 ambapo alikuwa mgeni rasmi wa mbio hizo maalum zilizoandaliwa na Wizara ya mambo ya Nje, kuelekea maadhimisho ya miaka 63 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Umoja wa Afrika (AU) yanayoadhimishwa Mei 25 Kila mwaka iambapo yalianzishwa mwaka 1963 ikiwa kama OAU na sasa ni AU.

Mbio hizo zimeanzia na kuhitimishwa katika Kituo  cha Kimataifa  cha Mikutano cha Julius Nyerere ambapo zimeongozwa na Mwenyeji ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi, Mahmoud Kombo.

slot gacor