MHE. MWIGURU AUNGANA NA WANAWAKE SIKU YAO KUICHANGIA TWIGA STARS

Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Mwigulu Lameck Nchemba, Mgeni Rasmi katika Harambee ya kuchagia Fedha kwa ajili ya kusaidia timu ya Taifa ya wanawake Tanzania (Twiga Stars) akifurahia burudani kutoka kwa wasanii wa kike wa Tanzania Bahati Band walioburudisha katika hafla inayoendelea JNICC.Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Mwigulu Lameck Nchemba, Mgeni Rasmi katika Harambee ya kuchagia Fedha kwa ajili ya kusaidia timu ya Taifa ya wanawake Tanzania (Twiga Stars) akifurahia burudani kutoka kwa wasanii wa kike wa Tanzania Bahati Band walioburudisha katika hafla inayoendelea JNICC.Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Mwigulu Lameck Nchemba, Mgeni Rasmi katika Harambee ya kuchagia Fedha kwa ajili ya kusaidia timu ya Taifa ya wanawake Tanzania (Twiga Stars) akifurahia burudani kutoka kwa wasanii wa kike wa Tanzania Bahati Band walioburudisha katika hafla inayoendelea JNICC.