NAIBU WAZIRI  MAKONDA AWAPA AWASILI KWENYE KAMBI YA TIMU YA TAIFA
service image
29 Dec, 2025

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda akielekea katika Kambi ya Taifa Stars iliyopo Rabat nchini Morroco leo Desemba 29, 2025 ili  kuwatakia heri katika mchezo wa kesho Desemba 30, 2025 dhidi ya Tunisia.