Naibu Waziri Mhe. Paul Makonda alipotembelea kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars)
02 Jan, 2026
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda alipotembelea kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kinachoendelea na maandalizi ya mchezo wa kesho Januari 4, 2026 dhidi ya timu ya Taifa ya Morocco katika hatua ya mtoano (16 bora) ya michuano ya AFCON inayoendelea nchini Morocco.

