KIKAO NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ELIMU, UTAMADUNI NA MICHEZO
service image
22 Mar, 2024

Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bi. Neema Msitha akisema jambo wakati Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro akiwasilisha utekekezaji wa Bajeti ya Wizara na Taasisi zake kwa mwaka 2023/24 na Mpango wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 24/25 kwenye Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo leo Machi 22, 2024 Bungeni Jijini Dodoma.