MSAFARA WA TAIFA STARS
09 Sep, 2023
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu aongoza msafara wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ikiwasili nchini salama salimini kutokea Annaba Algeria ilipofuzu AFCON 2023 katika mchezo wa mwisho dhidi ya wenyeji Algeria.