TAMASHA LA MICHEZO LA WANAWAKE (TANZANITE)
service image
21 Oct, 2023

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akikabidhi Tuzo za Heshima kwa baadhi Wanawake kwa niaba ya wengi waliofanya vizuri katika Sekta ya Michezo ambao ni Elizabety Kalinga, Nassra Juma Mohamed na Theresia Dismas mwanamke wa kwanza kuleta medali ya kwanza Tanzania.

Tukio hilo limefanyika katika Kilele cha Tamasha la Michezo la Wanawake awamu ya tatu lililofanyika Oktoba 21, 2023 Jijini Dar es Salaam.