TEMBO WORRIORS KAMBINI MANYARA
service image
07 Mar, 2024

Timu ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu nchini (Tembo Worriors) wako kambini Mkoani Manyara chini ya udhamini wa Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT), wakijinoa kuelekea katika mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyika nchini Misri mwezi Aprili, 2024.