UAPISHO WA KATIBU MKUU

27 Sep, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndg. Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenye hafla fupi iliyofanyika tarehe 26 Septemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.