KIKAO KAZI CHA MHESHIMIWA DKT. DAMAS NDUMBARO.
service image
08 May, 2024

Kikao Kazi cha Mheshimiwa Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Dokta Damas Ndumbaro (Mb), Baadhi ya watendaji wa Wizara na BMT pamoja na wadau wa mchezo wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, kinaendelea katika ukumbi wa Jiji Mtumba jijini Dodoma.