UKARABATI WA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA
service image
27 Jul, 2023

Balozi Dkt. Pindi H. Chana Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Julai 27, 2023 Jijini Dr es salaam, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Katibu Mkuu wa wizara hiyo Saidi Yakubu na kampuni ya BCEG ya nchini China. Mkataba utakaotekelezwa kwa mwaka mmoja hadi Julai 2024.