UZINDUZI WA UWANJA WA MPIRA WA KIKAPU KIGAMBONI.
service image
18 Aug, 2022

Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Neema Msitha akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) pamoja na wadau wa mchezo wa kikapu, baada ya kuzindua kiwanja cha mpira wa kikapu kigamboni kilichojengwa kama sehemu ya "Premier Projects".