ADA ZA USAJILI NA MWAKA KWA VYAMA VYA MICHEZO

12 Sep, 2022
Msajili wa vyama vya michezo nchini Riziki Majala amevitaka Vyama vya Michezo kulipa ada za mwaka pamoja na kuwakumbusha wanachama wao kutekeleza wajibu huo pasina kusubiri faini kwa kuchelewa kulipa.