KATIBU MKUU WIZARA YA UTAMADUNNI, SANAA NA MICHEZO AFANYA ZIARA KATIKA UWANJA WA TAIFA

26 Sep, 2023
Katibu Mkuu wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa akifanya ziara kwa mara ya kwanza uwanja wa Benjamin Mkapa, kuangalia maboresho ya ukarabati wa uwanja huo.