TANZANIA YASHIKA NAFASI YA TATU MASHINDANO YA GOFU AFRIKA.

Michuano ya Afrika ya mchezo wa gofu ya wanawake (All African Challenge Trophy) yaliyofunguliwa tarehe 05 na kuhitimishwa leo Septemba 08 kwenye viwanja vya Gymkhana gofu klabu, timu yaTaifa Afrika Kusini imejinyakulia kombe hilo ikifuatiwana timu ya Morocco huku timu ya Tanzania ikishika nafasi ya tatu.
Akizungumzia ushindi huo mchezàji wa timu ya Àfrikà Kusini Bobbi Brown alisemà àmefuràhi kupata ushindi huo àkiwa ugenini.
Bobbi alisema timu ya Taifa Tanzania ina wachezaji wazuri na kudai mçhezo huo kwa sasa unazidi kukua kwenye nchi za Àfrikà.
Kwa upande wake Angel Hilton ambàye ni mchezàji wa timu ya Taifa Tanzania àlisema wàlitàmàni kombe hilo libáki nyumbani lakini bàhàti haikuwà kwao.
"Tulitàmàni tushike nàfasi ya kwanza làkini hàijàwa hivyo tumejifunza mambo mengi kwenye michuàno hii"àlisemà Hilton.
Àlisema mashindano yàlikuwa màzuri nàkudài alikuwa na changamoto ya kupiga mipirà ya kumàlizia,