Usaili wa Viongozi wa Vyama vya Ngumi za Kulipwa**
service image
19 Apr, 2022

 

Usaili wa Viongozi wa Vyama vya Ngumi za kulipwa nchini kikiwemo chama cha Makocha, Wakuzaji na Mabondia wa ngumi hizo nchini, tukio linalofanyika leo tarehe 19 Aprili, 2022 katika moja ya kumbi za Uwanja wa Benjamin Jijini Dar es salaam.

Aidha, wagombea watakaopita katika usaili huo leo wataelekea katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 21 kwa upande wa chama cha makocha na wakuzaji na tarehe 23 Aprili, 2022 kwa upande wa chama cha mabondia, chaguzi zitakazofanyika ukumbi wa Benjamin Jijini Dar es salaam