Generic placeholder
Bw. Leodegar Tenga

Mwenyekiti wa Bodi

Wasifu

Sisi ni nani

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ni Taasisi ya serikali iliyoundwa na Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa sheria Na. 12 ya mwaka 1967 na marekebisho yake ya sheria Na.6 ya mwaka 1971 na Kanuni za Baraza la Michezo la Taifa na Kanuni za usajili Na.442 za mwaka 1999 na ndio chombo pekee kilichopewa mamlaka na Bunge kusimamia Michezo nchini.  Aidha Baraza la Michezo la Taifa ni Taasisi iliyopo chini ya Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo. 
01 Sep, 2025
TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA...
Changamkia fursa za kujitolea CHAN 2024 Maombi yawasilishwe kupitia t...
01 Sep, 2025 TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA MASHINDAN...
04 Jan, 2025
UKAGUZI WA VIWANJA VITAKAVYOTU...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Paramagamba Kabudi am...
04 Jan, 2025 UKAGUZI WA VIWANJA VITAKAVYOTUMIKA CHAN
04 Jan, 2025
MAELEKEZO YA PROFESA KABUDI KW...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Profesa Paramagamba Kabudi...
04 Jan, 2025 MAELEKEZO YA PROFESA KABUDI KWA BMT
02 Apr, 2024
Viongozi wa Chama Cha Mak...
02 Apr, 2024 Viongozi wa Chama Cha Makocha wa Mchezo...
02 Apr, 2024
Usaili wa Wagombea 'TACA'
02 Apr, 2024 Usaili wa Wagombea 'TACA'
25 Mar, 2024
Uchaguzi wa Viongozi wa C...
   
25 Mar, 2024 Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha makoch...

Nifanyaje

A. KUSAJILI KWA KUPITIA MFUMO WA SARS : SaRS ni mfumo wa kidigitali unaomwezesha mdau/mteja wa michezo kuweza kujisajili online, pamoja na kupata huduma zote zinazohusu usajili kwa kutumia mfumo. Mteja/mdau ataweza kujisajili kwa kutumia mfumo. Taratibu za Kujisajili kwa Kupitia Mfumo wa SaR...
 ADA ZA USAJILI NA ADA ZA MWAKA. Mabadiliko haya ya Ada za Usajili na Ada za Mwaka ni kwa mujibu wa Kanuni ya 25 (5) ya Kanuni za Usajili wa Vyama vya Michezo 2020. Na. AINA YA CHAMA ADA YA USAJILI (Itatolewa mara moja wakati wa usajli tu)...
BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA LINAPATIKANA UWANJA WA TAIFA (GHOROFA YA PILI) S.L.P 20116 Dar-es-salaam,TANZANIA baruapepe : info@nationalsportscouncil.go.tz tovuti:-  https://bmt.go.tz/